Kama unahitaji kuuza gari wasiliana kwa simu/whatsapp 0655 766 446 upate maelekezo.

Hakikisha yafuatayo yamekamilika ili tuweze kuuza gari lako:

1. Gari liwe na kadi, pamoja na nyaraka zote muhimu zilizo katika nakala halisi

2. Kama umiliki wa gari haupo kwa jina lako, hakikisha una mkataba unao onyesha uhalali wako wa kumiliki gari hilo.