Karibu katika ukurasa wetu wa GARI NDOGO

Ukurasa huu una orodha za magari yaliyopangwa kwa kutumia majina ya makampuni yaliyotengeneza gari hizo.

MAELEKEZO JUU YA KUTAFUTA GARI

Tafuta gari unalohitaji kwa kutumia majina yaliyo orodheshwa juu ya ukurasa huu  (kwa mfano Toyota, Nissan n.k). Bonyeza jina hilo na utapata orodha ndefu yenye picha za magari na maelezo ya kila gari.

===>Jinsi ya kutafuta gari haraka: ukiwa katika ukurasa wa jina la gari unalotafuta (kama unatumia kompyuta):

1. bonyeza Ctrl na F kwa pamoja.

2. andika jina au aina ya gari unalotafuta (mfano: Coaster, GX100 n.k)

3. Utaona jina au aina ya gari uliyoandika imewekewa rangi, hivyo kuwa rahisi kwako kuliona gari la jina au aina hiyo.

MUHIMU: Ni vema kurudi katika ukurasa wa 'GARI NDOGO' kila unapotaka kubadili                     chaguo la jina la gari unalotafuta 

 {JISAJILI HAPA ili uwe unapata taarifa zetu kwa baruapepe}

Bonyeza jina hapa chini kuona orodha yote

TOYOTA   NISSAN    HONDA    SUZUKI    ISUZU    MAZDA    SUBARU  MERCEDES BENZ    MITSUBISHI    BMW    LEXUS    VOLKSWAGEN     LAND ROVER    MINIBUS/DALADALA / BUS    PICK-UP / LORI    TREKTA/MASHINE