Download App au Jisajili Upate Taarifa Mapema Zaidi kuhusu Magari Yanayouzwa!

1. Pakua Magari Bei Poa App kwa simu yako ya Android BONYEZA HAPA

2. Kujisajili kwa njia ya sms (vizuri kusajili namba unayotumia kwenye smartphone/whatsapp) tuma ujumbe 'nisajili' kwenda 0655766446. Huduma hii ni BURE!

3. BONYEZA HAPA ujisajili kupata taarifa za magari ya bei poa kwa njia ya barua pepe (email) . Huduma hii ni BURE!

** kama umejisajili kwa njia ya barua pepe lakini huzioni taarifa za magari ya bei poa, tafadhari angalia kwenye 'spam box' kama inavyoonyesha picha hapo chini. Ili taarifa zisiingie tena kwenye spam box hakikisha kuchagua 'not spam' baada ya kuufungua ujumbe, au ongeza 'magaribeipoa@gmail.com' katika anuani zako (add contact).

Kwa msaada zaidi wasiliana kwa njia zifuatazo

Simu/WhatsApp: +255655766446 Email: magaribeipoa@gmail.com

Tuma ujumbe kupitia Facebook Messenger Bonyeza Hapa